Nyumbani Huduma Kuhusu Sisi Wasiliana Ingia
Mikopo ya Haraka · Idhini Dakika 5

Karibu Elegansky
Microfinance

Pata mkopo kwa haraka usio na kianzio kwa idhini ya simu yako, ndani ya masaa matatu tu. Hakuna haja ya dhamana nyingine.Ni mkopo wa haraka unaopatikana kwa watumiaji wa simu za iPhone na Android bila malipo ya awali. Pata mkopo ndani ya masaa matatu tu bila kuhitaji dhamana yoyote

500+
Wateja Waliohudumiwa
3 Saa
Muda wa Mkopo
100%
Salama & Ya Kuamini
Elegansky Loan iPhone
Huduma Zetu

Tunakupa Nini?

Tunatoa bidhaa za mikopo zilizoundwa kukidhi mahitaji yako ya kila siku kwa haraka na uwazi.

Mkopo wa Biashara

Pata mkopo rahisi timiza malengo yako ya kibiashara. Tunakusaidia kukua.

Mkopo wa Wafanyakazi

Mikopo maalum kwa watumishi wa umma na sekta binafsi kwa masharti nafuu.

Mkopo wa Haraka

Pata fedha ndani ya saa 3 kwa ajili ya mahitaji ya dharura. Idhini ya papo hapo.

Mchakato

Jinsi Inavyofanya Kazi

Hatua nne rahisi kutoka ombi hadi kupata pesa yako.

01
Jaza Fomu

Omba mkopo mtandaoni — jaza taarifa zako na aina ya iPhone yako. Inachukua dakika 3.

02
Idhini ya Haraka

Mfumo wetu unakagua ombi lako mara moja na kukupa jibu ndani ya dakika chache.

03
Usanidi wa iPhone

Afisa wetu atakupigia simu kukusaidia kuweka mipangilio ya iCloud kwa usalama.

04
Pokea Pesa

Pesa inatumwa moja kwa moja kwako au unaweza kuja ofisini kupokea haraka.

Kuhusu Sisi

Elegansky Microfinance

"Mshirika wako wa kuaminika katika safari ya mafanikio."

Elegansky Microfinance ni taasisi ya kifedha iliyosajiliwa nchini Tanzania inayolenga kutoa huduma za mikopo kwa urahisi, uwazi na haraka kwa watu binafsi pamoja na wafanyabiashara wadogo.

  • Riba nafuu sana — wazi bila siri
  • Hakuna gharama zilizofichwa
  • Mkopo ndani ya masaa 3 tu
  • Maamuzi ya haraka na ya kibinafsi
Elegansky Team
Sisi ni Nani

Sisi ni taasisi inayosaidia Watanzania kupata mikopo kwa urahisi ili kuboresha maisha yao na kukuza biashara zao.

Dira Yetu (Vision)

Kuwa taasisi inayoongoza Tanzania katika kutoa huduma za kifedha kwa njia rahisi, salama na ya kidigitali.

Dhamira Yetu (Mission)

Kutoa mikopo yenye masharti nafuu na huduma bora kwa wateja wetu kwa kutumia teknolojia ya kisasa.

Maadili Yetu

Uaminifu
Tunafanya kazi kwa uwazi na uadilifu.
Ufanisi
Tunatoa huduma kwa haraka na ubora.
Kujali Wateja
Tunathamini na kuheshimu kila mteja.
Ubunifu
Tunatumia teknolojia kuboresha huduma.
Uongozi

Kutana na Mwanzilishi Wetu

Frank William Mlaki

Akiwa na uzoefu wa miaka mingi katika sekta za usafirishaji na fedha, Frank William Mlaki alianzisha Elegansky akiwa na dira ya kuleta mapinduzi katika utoaji wa mikopo nchini Tanzania.

Simu
+255 713 123 778
Barua Pepe
mlaki@elegansky.co.tz
Mahali
Dar es Salaam, Tanzania
Frank Mlaki
CEO & Mwanzilishi

Tayari Kupata Mkopo Wako?

Jaza fomu yetu ya dakika 3 na upate idhini ya haraka. Pesa inakungoja.

Omba Mkopo Sasa Hivi
Mawasiliano

Wasiliana Nasi

Ofisi Yetu

Kijichi Magengeni, Dar es Salaam

Simu

+255 687 401 200

Barua Pepe

info@elegansky.co.tz

Chagua Aina ya Simu

Tunakuletea huduma kulingana na device yako

📱
iPhone
iPhone XR hadi iPhone 15 Pro Max
Bonyeza Hapa
🤖
Android
Samsung, Tecno, Infinix na zingine
Download App
Mkopo hutegemea aina ya simu na usalama wa device.
Msaada wa Haraka